Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Watu wa dar niwemgi sana mnatafuta wapenzi huko sindio sehem yenye wanawake wazur kuliko huku mikoani,[emoji16]
 
Sina mpango wa kuoa kwa sasa,
Ndoa zenyewe za milele hapana kwa kweli...

Mimi nataka mapenzi ya kudumu,siyo ya kugandana kupitiliza.
Sitaki mabinti wadogo walioko umri wa kujaribujaribu vitu.

Kazi:- mimi ni mtafutaji,nafanya kazi yeyote ilimradi tusilale njaa.
Mimi hapa mkuu
 
Back
Top Bottom