Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mfano upo kwe mahusiano na mtu wako mnaishi pamoja bila kufata utaratibu inafika kipindi watu wanaanza kusema sio tabia njema mwanamke anaamua kwenda kupanga lakini mnapendana xana nini kinaweza kutokea apoh
 
Not bad Ila out of laws
 
Jinsia: Me
Mrefu, Mweusi, mwili wa wastani.
Age: 32
kazi: Mwajiriwa Serikalini.

Mwanamke Ninae Mhitaji.
Age: Umri asidhidi 40
Awe anapenda familia na tayari ku settle.
Asiwe Mlevi..
Mwenye kujishughulisha.

Karibu PM
Utpata ukiwa umechoka mkuu
 
Umri; 35+
Kazi; Biashara
Elimu; Chini ya mti (Elimu mitaani)
Naishi; Dsm

Nna watoto wawili wapo kwa aunt yao huko

Nataka mchepuko wa mikasi maana sitaki kuoa tena baada ya kuzinguliwa na mama watoto wangu
 
Mwanaume nipo Dar Bunju
 
Mwanaume nipo Dar Bunju
 
Niko makini mwenyekiti ngoja niwalete
Wewe tu ushindwe mwenyewe

Mimi nakutaka Katibu. Nipo Lushoto Tanga. Ni mkulima, na pia mlinzi wa kwenye maduka ya wafanyabiashara wakubwa hapa Lushoto. Umri wangu ni miaka 71. 🙄
 
Mimi nakutaka Katibu. Nipo Lushoto Tanga. Ni mkulima, na pia mlinzi wa kwenye maduka ya wafanyabiashara wakubwa hapa Lushoto. Umri wangu ni miaka 71. 🙄
Asante babu ila siwezi kuwa Katibu

Wasalimie ndugu zangu huko Lushoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…