Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Anakuwaje mchepuko wakati huna mke?Umri; 35+
Kazi; Biashara
Elimu; Chini ya mti (Elimu mitaani)
Naishi; Dsm
Nna watoto wawili wapo kwa aunt yao huko
Nataka mchepuko wa mikasi maana sitaki kuoa tena baada ya kuzinguliwa na mama watoto wangu
bado hujapata?Awe Anapumua tu
Ila uongee lugha 5
Chinese
English
Kifaranca
Kireno sio unakaa kaa tu kizaramo
Eeeeee. 71 muandiko hautetemeki?Mimi nakutaka Katibu. Nipo Lushoto Tanga. Ni mkulima, na pia mlinzi wa kwenye maduka ya wafanyabiashara wakubwa hapa Lushoto. Umri wangu ni miaka 71. π
Eeeeee. 71 muandiko hautetemeki?
Ke,
Msasani-Dar
Mwanaume nipo bunju piaMwanaume nipo Dar Bunju
Kha...!!! sa wanaume mnatafutana ili iwejee..???Mwanaume nipo bunju pia
πππMwanaume.
Dar es salaam
Nina mwenza tayari
Nampenda sana.
Yupo serious πMwamba umetupia na namba !!!
Mzeya sii unatingantuu hapo nyumbani lounge u akamatia mbususuNipo morogoro umri wangu ni 30 natafuta mwanamke