Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri; 35+
Kazi; Biashara
Elimu; Chini ya mti (Elimu mitaani)
Naishi; Dsm

Nna watoto wawili wapo kwa aunt yao huko

Nataka mchepuko wa mikasi maana sitaki kuoa tena baada ya kuzinguliwa na mama watoto wangu
Anakuwaje mchepuko wakati huna mke?
 
Awe Anapumua tu
Ila uongee lugha 5
Chinese
English
Kifaranca
Kireno sio unakaa kaa tu kizaramo
 
Back
Top Bottom