Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

asee nimehamia iringa mjini hapa nahtaji mwanamke aliyepo maeneo ya iringa mjini au maeneo ya karibu. Oya wazee iringa kuna baridi la AJAAABUUU,,,kama hauko buzy na kaz unaweza jikuta unawaza sex mda wote. imenibidi niutafute huu uzi kwa lazima asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…