Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Ukija dar tuonane mkuu, au njoo pm
 
Age:27
elim:diploma in business administration
Kazi: sina( guaranteed kupata within 3 months)
makazi:dsm
Dini:sina

Mke
Age:20-24
Dini:yoyote
Elim: kuanzia form4
Kabila:lolote

Face to face interview itatoa uamuzi wa mwisho.
Tutakaa mwaka kwenye mahusiano kwanza
 
Wow!,congratulations na mufike mbali amin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi sifa labda ukienda Sayari ya Mars mlevi, afu pombe mixer mibange siyo mizuri,yaani nimekuja speed kumbe unazingua[emoji850]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufikirie basi na siye K.K.K.T ,afu punguza na hiyo chura as added advantage sasa[emoji19]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…