Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Kweli kabisa japo kuanza kumuamini mtu kwenye mtandao Inahitaji roho ngumu😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Kwa nini angalau C ya hesabu Mkuu ?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27
Kazi biashara nahitaji mmama 47-60
Wasichana wadogo sio wanachosha
Kiuchumi asijali nipo vizuri
Ila uwe seriously
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27
Kazi biashara nahitaji mmama 47-60
Wasichana wadogo wanachosha
Kiuchumi asijali nipo vizuri
Ila uwe seriously
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kulelewa nako ni kipaji.
 
Ngoja nami niweke ndoana yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi ni kijana mweusi tiii nahitaji mwanamama wa kupumzika nae weekend tu.

Kwa wakaazi wa Dar ty6
 
Extreme squirter and noise maker on rough riding, big boobs and twerking butts urgently needed. For marriage please!
 
Nipo hapa kwenye kibao walichoandika "TUNAUZA MTORI 1000/="
unapafaham chief
 
Natafuta mama mtu mzima wa kuspend nae mala moja moja ata akiwa zaidi ya miaka 60, ndo moja ya kitu nataka nitimize kwenye maisha ya mapenzi, niko Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…