Kesho leo Ni mfano elewa hoja mapenzi hufa kilasiku pili jua mapenzi sio suala lako binafsi tunni suala la watu wawili wewe binafsi unaweza kuwa na mtu ukamjari kwa kilakitu still akakuacha, kukusariti, kwenda kwa mwengine, kufariki Dunia factors nyingi nyingi zinakufanya uwe single tena so Kama unaona jamaa Happ kaeleza Wana muda kadhaa amekuwa royal kwake wamefikia hatu za mwisho kufunga ndoa mwenzie kavunja penzi so ni jambo la kuomba Mungu tu kuendela kuwa na uliyenaye kutokuwa na mpenzi serious sio ujinga mapenzi sometimes nayafananisha na suala la Ajira