Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri miaka 42,jinsia mwanaume,elimu chuo.Naishi iringa.Njoo pm tutaelewana tu .Nipo serious
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimecheka kwa nguvuπŸ™ŒπŸ½πŸ˜„awe anatambulishika eeh
 
Nchi za watu wadada kuwafungukia wakaka wawapendao ishakuwa kawaida, bado huku kwetu Afrika.

Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume, kwahiyo usipoteze fursa. Jaribu bahati yako kwa kumfungukia.

Nimemaliza. Kama hutaki acha!
Halafu ni vile hawajui tu, wanaume wengi tukitongozwa hua hatuwezi kuchomoa kabisa, tunawasemaga bure tu wanawake wasiojua kukataa lakini sisi ni zaidi ya maharage ya mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…