Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

View attachment 1395771

Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila wenza wetu hawapo tayari Kwa sababu zisizokuwa na maana

Hapa tunatoa wasifu mfupi na wapi tunaweza kupata Mambo mengine mnamalizia pm.

Naanza mwenyewe Mimi ni mwanamme mfanyabiashara umri 26 elimu degree, naishi dar, Kwa aliyetari kuyajenga karibu Niko tayari tuanze maisha naishi peke yangu.
Umri miaka 42,jinsia mwanaume,elimu chuo.Naishi iringa.Njoo pm tutaelewana tu .Nipo serious
 

Attachments

  • img_1_1681335155394.jpg
    img_1_1681335155394.jpg
    8.6 KB · Views: 29
Natafuta rafik wa kike baadae aje kuwa mke baada kuridhian
SIFA ZANGU
Mwembamb mrefu
Mweupe
Age 26
Muslim
Diploma
Ni muajiliwa serikalin
Naish DAR
SIFA ZAKE
asiwe mfupi
Awe muislam
Niwe mkwel asiwe mbaya wa sura anagalau awe anatambulishika
Mengine tutaongea
😅😅😅😅 nimecheka kwa nguvu🙌🏽😄awe anatambulishika eeh
 
Nchi za watu wadada kuwafungukia wakaka wawapendao ishakuwa kawaida, bado huku kwetu Afrika.

Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume, kwahiyo usipoteze fursa. Jaribu bahati yako kwa kumfungukia.

Nimemaliza. Kama hutaki acha!
Halafu ni vile hawajui tu, wanaume wengi tukitongozwa hua hatuwezi kuchomoa kabisa, tunawasemaga bure tu wanawake wasiojua kukataa lakini sisi ni zaidi ya maharage ya mbeya.
 
Back
Top Bottom