Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Wao kuna njia zao wanatumiaga zenye nguvu zaidi ya kufunguka! Mwanamke akikuelewa anakutengenezea mazingira ya kukuwezesha kumtongoza alafu unajiona mjanja[emoji38]
Kulikua na ulazima gani wa kutoa siri za watu hadharani mkuu
 
Uko uko Wanaume wenzio wanapotafutia..me sitakiwi kujua unazitafutia wapi nataka πŸ’°πŸ’°πŸ’°tyuuuπŸ€£πŸ‘‹
Nyie ndio mnawafanya wanaume zenu kuwa majambazi, mafisadi kwa sababu ya tamaa zenu; kweli mwanamke mwema anatoka kwa Mungu.
 
Nchi za watu wadada kuwafungukia wakaka wawapendao ishakuwa kawaida, bado huku kwetu Afrika.

Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume, kwahiyo usipoteze fursa. Jaribu bahati yako kwa kumfungukia.

Nimemaliza. Kama hutaki acha!
wewe wadanganye tu πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
wataweza kutulipia na bills, pia watume na ya kutolea
 
Wao kuna njia zao wanatumiaga zenye nguvu zaidi ya kufunguka! Mwanamke akikuelewa anakutengenezea mazingira ya kukuwezesha kumtongoza alafu unajiona mjanja[emoji38]
Na wengi huishia kuliwa na kuachwa

Lazima tukubali suala la ndoa muamuzi wa mwisho ni mwanamume
 
Huku wamezoea kuhongwa pesa na vitu coz wanatongozwa. Sasa wanafikiri wakitutongoza kibao kitasageukia. Ndio mata wananyanduliwa na kiolewa na wanaume wasio wapenda
 
Wacha we kila la kheri best πŸ™
 
Artifact photo please
 
Kwa maelez hay cpat picha hilo toto jins lilivyo
 

Kwa maelez hay cpat picha hilo toto jins lilivyo
Mate yamentoka
 
Weee....[emoji2]bango lako tuweke wapi vile ,,maana hapo mwishoni umeandika kama AI ya love text mtandaoni ....hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…