Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,806
Kulaya ni mji gani?!Unapakumbuka kulaya?
Kama unapakumbuka basi unashuka kidogo na hiyo njia kama unaelekea makaburini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulaya ni mji gani?!Unapakumbuka kulaya?
Kama unapakumbuka basi unashuka kidogo na hiyo njia kama unaelekea makaburini
Kila kitu kipo ila nipo Buza vipi??Natafuta mwanaume anaetaka nihamie kwake
Nitakuja na fridge na jiko na vyombo tu
Kitanda tutalalia chake
Awe na nyumba nzuri mengine kama gari ,kulipa ada kula tutasaidiana
Mazaifu yangu
Sipendi kugegedwa sana,nipo busy sana sana .kurudi home saa tano usiku
Akiwa na watoto wasizidi wawili ,mimi sina
Awe muhenga ,awe anaishi dar ila sio temeke
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] wavamiavamia tu shauriloShiiiiiiit........ Bby umeniokoa leo.
Love you so much
Andika kuwa wewe ni kibonge, simple like that!
[emoji3][emoji3][emoji3] naongeza na tipwatipwa TetemaAndika kuwa wewe ni kibonge, simple like that!
Mzee wa chura hujapata tuAndika kuwa wewe ni kibonge, simple like that!
[emoji23][emoji23]tetema mko vyema nyie[emoji6][emoji6]Mama wa nyumbani
Watoto 5
Elimu form2
Kibonge(tipwatipwa tetema)
Ukipenda boga upende na ua lake.
Nimemaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] We siku zote hizo hujapata tuu.
Watakuwa wanakuogopa huku wanasema,
"Hivi ni vya wakubwa"
Beggars can't be choosers
Dah asante sana kwa huo mwaliko, nakuahidi lazima niutendee haki.Dah njoo uwaprove wrong basi mkuu[emoji3], afu wakubwa ukimaanisha 18 yrs and above ama kwa tafsiri gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama wa nyumbani
Watoto 5
Elimu form2
Kibonge(tipwatipwa tetema)
Ukipenda boga upende na ua lake.
Nimemaliza
Sent using Jamii Forums mobile app