financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hee, Kwani Bibi hastahili upendo mkuu nibanie tu hiyo nafasi freshi.mara bibi
mara binti
ndo maana hupati mtu hapa damn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee, Kwani Bibi hastahili upendo mkuu nibanie tu hiyo nafasi freshi.mara bibi
mara binti
ndo maana hupati mtu hapa damn
Haya bibinti lolHee, Kwani Bibi hastahili upendo mkuu nibanie tu hiyo nafasi freshi.
Njoo tuwe bibi na babu basi mkuu city.......Haya bibinti lol
utanizalia ??Njoo tuwe bibi na babu basi mkuu city.......
Soon tutaleta mkuu na babe City wangu
njoo pm mara 1 nahitaji ushauri mpenziSoon tutaleta mkuu na babe City wangu
Ushauri huo utalipia ama ni free of charge Mpenzi ?njoo pm mara 1 nahitaji ushauri mpenzi
Soon tutaleta mkuu na babe City wangu
Wazaramo sijui wamekosea wapi!Umri : 31
Elimu : shahada ( degree)
Kazi : Mwalimu
Dini : Muislam
Muonekano : Si mrefu Sana wala si mfupi, rangi ya maji ya kunde, Si mnene Wala si mwembamba
Mtoto/ watoto : Nina mtoto mmoja
Makazi : Tanga
Kilevi : situmii
Sigara : Sivuti
Nahitaji mke mwenye vigezo vifuatavyo ;
Umri : 25- 35
Dini : Muislam
Elimu : kuanzia kidato Cha nne
Kazi : Mwajiriwa au amejiajiri
Mtoto/ Watoto : Kama Ana mtoto sawa
Tabia : Mwenye kujiheshimu
Kilevi : Hapana
Muonekano : mweupe ama rangi ya chocolate
Kabila : lolote ila asiwe mzaramo
NB: Mambo mengine tutaongea
Unauliza kukulana kwa wanandoa?, tumekula hadi tumemaliza😬
Unauliza kukulana kwa wanandoa?, tumekula hadi tumemaliza[emoji51]
Heee, haya mkuu weekend njemaa[emoji16][emoji16][emoji16] Kwa sasa hivi hamkulani tena? Alafu wanandoa wengi uwa hampigani pumbu kisawasawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga muha wa kuwa kwenye nyumba ya kupanga room moja akiwa na umri wa miaka 50. Wewe utakuwa mrundi tena intarahamwejinsia---me
umri-- 50yrs
kabila-- muha
hela-- sina (tutatafuta wote)
makazi--- nimepanga room moja
ninayemtaka. awe kama huyu.
View attachment 1418530
View attachment 1418531
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Hakunaga muha wa kuwa kwenye nyumba ya kupanga room moja akiwa na umri wa miaka 50. Wewe utakuwa mrundi tena intarahamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Na kwako mkuuHeee, haya mkuu weekend njemaa