Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri : 31
Elimu : shahada ( degree)
Kazi : Mwalimu
Dini : Muislam
Muonekano : Si mrefu Sana wala si mfupi, rangi ya maji ya kunde, Si mnene Wala si mwembamba
Mtoto/ watoto : Nina mtoto mmoja
Makazi : Tanga
Kilevi : situmii
Sigara : Sivuti

Nahitaji mke mwenye vigezo vifuatavyo ;

Umri : 25- 35
Dini : Muislam
Elimu : kuanzia kidato Cha nne
Kazi : Mwajiriwa au amejiajiri
Mtoto/ Watoto : Kama Ana mtoto sawa
Tabia : Mwenye kujiheshimu
Kilevi : Hapana
Muonekano : mweupe ama rangi ya chocolate
Kabila : lolote ila asiwe mzaramo

NB: Mambo mengine tutaongea
Wazaramo sijui wamekosea wapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom