financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Unanicheka mkuu 😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanicheka mkuu 😛
Nimeshangaa tu kuniaga mapema kisa kuongea vileUnanicheka mkuu [emoji14]
Wewe unafaa kabisaa kuwa mume!Habari wanajamvi hususani wanawake mlio singo na mnahitaji mwenza/mme wa maisha. Nami nimehamasika kuja uwanja huu kwani nimepata shuhuda kadhaa za waliofanikiwa kupata wenza humu jamvini.
Kiufupi nina kiu kubwa sana ya kupata mke kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza familia. Nishajipanga kimaisha na kisaikolojia.
Nina akili timamu na ninafahamu kuwa mwenza wa maisha anapatikana popote pale, tena nawashukuru waliotuletea platfom hii kutusaidia sisi ambao hatupati fursa hizi sehemu nyingine kwa sababu mbalimbali.
WASIFU WANGU
Jinsia; Me
Umri; Miaka 34
Kazi; Nimejiajiri pia nimeajiriwa
Elimu; Masters in Finance and Investment
Dini; Mkristo LC
Makazi; Dar Es Salaam
Mengineyo
Nina mwili wa wastani mrefu kiasi kimo futi 5 inchi 10, uzito kg 72. Sura ya kawaida na nina bald head( uwalaza)
Ni husband material kwa kwel, napenda sana familia, kujituma na kuwekeza ili kujiletea maendeleo
WASIFU WA NINAEMHITAJI
1. Umri awe miaka 25-30
2. Elimu angalau diploma
3. Kazi; Awe ameajiriwa/Kujiajiri. Ila hata kama hana kazi kwa sasa, nitamtafutia shughuli ya kufanya maana naamini katika kazi.
4. Dini; Napenda awe mkristo hususani dhehebu la LC, RC, au pentecoste
5.Makazi; Dsm, au awe tayari kuja kuishi Dsm
6.kabila; napendelea zaidi wa nyanda za juu kusini maana mmi ndio napotokea.
7. Awe na umbo la wastani, kama ni mnene asiwe mnene kupita kiasi
Mengineyo
Napenda mwanamke anaejitambua na anaejua wajibu wake kama mama wa familia
Napenda mwenye kiu ya maendeleo, asiwe mtu wa tamaa.
Napenda pia awe mshauri na mwenye kuona mbali kupitia ya leo(mwenye maono)
Nawakaribisha wenye nia. Karibuni
MAWASILIANO; PM YANGU IPO WAZI HADI NITAKAPOFANIKIWA
Sent using Jamii Forums mobile app
wazaramo tatzo wanaongea kama radio yan ukioa mzaramo huna haja ya kununua sabufa. yan anaweza kuongea tangu alfajiri mpaka usku wakat wa kulala.
Hahaa, niliona maneno mazito yameanza mkuu
Hahaa, niliona maneno mazito yameanza mkuu
Hujapata tuuuu....! JamaniHahaa, niliona maneno mazito yameanza mkuu
Lahaula! Nimechelewa wapi kuuona huu uzi? Yamkini ningeshavutia ndani kitambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah, sijapata hadi nimechoka sasa. Wewe vipi naskia ushapata?
Oooh kumbe! Basi njoo tuyajenge😉
😀😀, haya bana usiku mwema tena[emoji23][emoji23][emoji23] Uoga wako tu na wala yasingeendelea but ushabeba mazito mangap hadi uogope maneno bibie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee bado mkuuHujafanikiwa rafiki?
Sasa mkuu ulikuwa wapi siku zote??? Humu kuna uzi mmoja niliandika wa kutaka kumuunganisha bachelor mwenzangu mmoja binti mwenye sifa za kuwa mke wa mtu maana mm sikuwa na uwezo wa kumuoa na kwa nilivyokufuatilia ukimjibu huyo mdau anayekufundisha mbinu haramu za uzinzi nikajikuta nimekupa points za kuwa bachelor mwenye focus na ulichokiandika..Hahahaa.. haiwezekani kiongozi... Huwa napenda kuishi maisha ya uhalisia na si kuigiza
Mkuu hivyo avatar inasadifu mengi,yaani bidada sijui kalazimishwa na wazazi baada ya kulipwa zizi la ng'ombe!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kuwa msafi, vaa nguo inayokukaa vizuri, pangilia vizuri mavazi na kama ni ya kupiga pasi hakikisha umefanya hivyo
Nimekubamba eenheeee unafanya nn huku kwa watu wanaovutana ndani???Hujafanikiwa rafiki?
Eti zizi la ng'ombe lol[emoji16][emoji16]Mkuu hivyo avatar inasadifu mengi,yaani bidada sijui kalazimishwa na wazazi baada ya kulipwa zizi la ng'ombe!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app