Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikosa nitakusubiri weweAhahah jaribu tu mkuu...huwenda ikawa ni bahati yako kuopoa kimwana uku
Ahahah karibu sana. Huwenda ukawa ndo wewe ninayemtafuta.
Nikikosa nitakusubiri weweAhahah jaribu tu mkuu...huwenda ikawa ni bahati yako kuopoa kimwana uku
Acha niwe mpoleAhahah karibu sana. Huwenda ukawa ndo wewe ninayemtafuta.
Hivi humu CV zetu hamjaziona?, shida nini mpaka mda nasugua bench tu hamna wa kuvutana naye aisee.
Stay safe wapendwa.
Dah, haya Corona ikiisha nawasubiri
Aisee, no free lunchUshauri huo utalipia ama ni free of charge Mpenzi ?
Kweli mkuu hayuko serioustena wewe FS ndio unaongoza kwa kuweka mizaha hapa ujue
lol
Nikila nikisoma comments zako, haziko serious, zina jokes nyingi na sarcasticHivi humu CV zetu hamjaziona?, shida nini mpaka mda nasugua bench tu hamna wa kuvutana naye aisee.
Stay safe wapendwa.
Ooh ok, thank you for the feedback but too much seriousness si nzuri pia utakufa mapema. Uwe na siku njema mkuu na kama hujapata bado nipo hapa pia sijapata.Nikila nikisoma comments zako, haziko serious, zina jokes nyingi na sarcastic
Inaonesha nimekukera sana eeh, pole serious man ila unaweza ignore ucaconcentrate na walio serious, au nini ngumu?Kweli mkuu hayuko serious
Wala mama, mimi sio short tempered person.Inaonesha nimekukera sana eeh, pole serious man ila unaweza ignore ucaconcentrate na walio serious, au nini ngumu?
Wala hujanikwaza, mimi ndyo nimekukwaza na hizo sarcastic ulizoziona🤷♂️, sorryWala mama, mimi sio short tempered person.
Sorry kama nimekukwaza
Ahahaha, haya mama asante, but naona you're too good for me, thanks thouOoh ok, thank you for the feedback but too much seriousness si nzuri pia utakufa mapema. Uwe na siku njema mkuu na kama hujapata bado nipo hapa pia sijapata.