Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mkipata mtupe mirejesho nasisi tutafute
 
Jina;Magema jr

Age:20

Home place:kahama town

Education level:diploma of primary teacher

Assets:kiwanja, stock ya gunia 18 za mpunga, heka moja na nusu ya mahindi, account bank ya tsh 2 million na kama laki tatu ivi

Plan:kupata mwanamke mrembo kutoka hapa jukwaani au nje ta jukwaa

Vigezo:awe mcha mungu na mwenye nia ya dhati kuolewa

Dini:RC

EMAIL ADDRESS:MARTINE17WILI@GMAIL. COM

CONTACT:0746055137

(Sitaki usumbufu)
Hivi ndo vigezo Sasa..washindwe wenyewe
 
Mlete mirejesho eti, mbona sioni watu wakileta majibu kwamba wamepata watu sahihi, au ndo kunyanduana kimya kimya [emoji4][emoji4].
 
Natafuta boyfriend awe na miaka kuanzia 28 mpk 34 awe mkristo anaejua kwenda kanisani sio kusubiri mpaka sikukuu awe anajali kwa mawasiliano ajue umuhimu wa kuwasiliana kila siku kama hujui kuwasiliana unakaa kimya siku nzima sitakueza upite kushoto ahsante
[emoji16][emoji16][emoji16] here i am
 
Jina;Magema jr

Age:20

Home place:kahama town

Education level:diploma of primary teacher

Assets:kiwanja, stock ya gunia 18 za mpunga, heka moja na nusu ya mahindi, account bank ya tsh 2 million na kama laki tatu ivi

Plan:kupata mwanamke mrembo kutoka hapa jukwaani au nje ta jukwaa

Vigezo:awe mcha mungu na mwenye nia ya dhati kuolewa

Dini:RC

EMAIL ADDRESS:MARTINE17WILI@GMAIL. COM

CONTACT:0746055137

(Sitaki usumbufu)
[emoji16][emoji16][emoji16] mpaka magunia ya mahindi pia yapo !?
 
Umri 25
Jinsia : ke
Elimu:University degree
Kazi: private lawyer
Location: Dar es Salaam

Natafuta friends preferably wa kiume, elimu kuanzia form 6, positive minded na mchangamfu.
My wangu [emoji16] umeshapata hitaji lako ?
 
Umri 25
Jinsia : ke
Elimu:University degree
Kazi: private lawyer
Location: Dar es Salaam

Natafuta friends preferably wa kiume, elimu kuanzia form 6, positive minded na mchangamfu.
njoo kahama
 
Naitwa John,
umri 23,
Makazi: DSM
Kazi: self employed
Education: bachelor degree
Natafuta mke... awe charming, humble, sense of humor.. dm me

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu john naona kikwenu waitwa Imanueli Moshi waja kutafuta mchumba uku waitwa John[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom