Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri wangu 38 mtoto mmoja natafuta mtu mzima mwenzangu tumalizie maisha yaliyobaki umri 37-45. Nimeajiliwa serikalini. Dini yangu mkristo. Mme wa mtu sihitaji.
 
Umri wangu 38 mtoto mmoja natafuta mtu mzima mwenzangu tumalizie maisha yaliyobaki umri 37-45. Nimeajiliwa serikalini. Dini yangu mkristo. Mme wa mtu sihitaji.
Kigezo Cha kutohitaji MME wa mtu ndo kimenipiga KO, otherwise natamani Nije pm tuyajenge vizur
 
nawasogoezea single mother mmoja, 𝕒𝕟𝕒 𝕞𝕥𝕠𝕥𝕠, 𝕨𝕒 𝕜𝕚𝕜𝕖 𝕞𝕞𝕠𝕛𝕒 𝕥𝕦

young and beautiful

age yake 27 yrs old

kabila msukuma

𝒎𝒖𝒐𝒏𝒆𝒌𝒂𝒏𝒐
�𝑚𝑟𝑒𝑓𝑢, 𝑚𝑤𝑒𝑢𝑝𝑒... 𝑠𝑖𝑜 𝑚𝑛𝑒𝑛𝑒

𝒆𝒍𝒊𝒎𝒖: 𝒌𝒊𝒅𝒂𝒕𝒐 𝒄𝒉𝒂 4

𝒂𝒏𝒂𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂 𝒎𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂, 𝒖𝒎𝒓𝒊 𝒌𝒖𝒂𝒏𝒛𝒊𝒂 𝒎𝒊𝒂𝒌𝒂 40 𝒕𝒐 45
anapenda zaidi mwenza wake awe mwanajeshi.

nichek 0683011003 nikuunganishe
 
umri:27yrs

kaz: muajiriwa

dini:mkristo

natafuta mwanamke wa ku enjoy nae maisha
awe na miaka 18-25

kama upo interested n pm
 
Umri : 24
Elimu: degree
Nipo dar
Natafuta sugar mammy, nataka mwanamke mtu mzima anayependa mambo yetu ya kitandani,. Pesa sio kigezo kikubwa cha muhim kuridhishana
 
Back
Top Bottom