Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,552
🤣🤣🤣 Mkuu Nina kitambo kama utaweza karibu, nakula main ya kuku tu ndio mboga yanguMkate mingine kama jiwe mkuu! Migumu balaa😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Mkuu Nina kitambo kama utaweza karibu, nakula main ya kuku tu ndio mboga yanguMkate mingine kama jiwe mkuu! Migumu balaa😀😀
Mmh sikutaki mimi, nimeshtuka mkuu😂😂 baki na ugumu wako🤣🤣🤣 Mkuu Nina kitambo kama utaweza karibu, nakula main ya kuku tu ndio mboga yangu
Sawa tu tutaonana Basi tu yaani Basi nitafutie saiz yangu jaman🥴🥴🥴Mmh sikutaki mimi, nimeshtuka mkuu😂😂 baki na ugumu wako
😀 😀 😀Nipo serious mkuu, huo ugumu wako itakuaje sasa?
Cv yako mbona hujaipandisha jukwaani mkuu.Natafuta pia
Soon to come mkuu..Cv yako mbona hujaipandisha jukwaani mkuu.
Acha uwoga,mitara shughuli jamani kha, sijui ipo siku ntakubali mie[emoji38][emoji38][emoji38]
Weeee[emoji179][emoji179][emoji179][emoji304][emoji304][emoji304][emoji304]Awe na kichwa
Awe na miguu
Awe na mikono
Awe na macho
Jinsia yoyote
Natafuta mume.
Sifa awe anapumua tu nshachoka mie
Pasua kichwa! Hamna mke hapoAwe na kichwa
Awe na miguu
Awe na mikono
Awe na macho
Jinsia yoyote
Njoo Milala, Sumbawanga nyumbaniUmri miaka 35
Kazi: Polisi
Status: Nilioa ndoa ikanishinda ila nina watoto wawili watundu mmoja wa nje ya ndoa
Naishi Mkoa wa katavi
Nahitaji mwanamke ambae mstaarabu
Nimekumith
Nipo kakaa!!!Nimekumith
@madam B nije tuyajengeNjoo Milala, Sumbawanga nyumbani
Njoo askari wangu@madam B nije tuyajenge
Wacheka nini?![emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"kakaa"
Anatafuta mke unamwita "kaka"
Ukiona hvyo sina sifa ya kua mkewe!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!!Anatafuta mke unamwita "kaka"