dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Ulitakiwa kujibu Maranatha!Shalom kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitakiwa kujibu Maranatha!Shalom kaka
Ulitakiwa kujibu Maranatha!
Nakuj mkorof kwa mwanamke sasa si dhamb hyo kbsaHivi mkuu hapo nimefoka kweli? Mbona umkorofi wewe[emoji3]
Kigezo kimoja kimeninyima mke.Natafuta Mume
Asiwe majiriwa wa serikali wala mwizi
Umri:awe Na Miaka kuanzia 28 Na kuendelea
Mtoto: asiwe Na mtoto zaidi ya mmoja
Elimu: awe Na degree Na kuendelea
Kabila: lolote asiwe mnyakyusa wala mhehe
Sifa zangu
Elimu: Nina degree Moja
Kazi: business person
Umri: 30+ yrs
Makazi: Dar mbezi mwisho
Mtoto: sina Mtoto
Mimi si mfupi wala si mrefu ni mweupe
Kabila:mchaga OG
Aliye serious pekee ani PM
Karibu tuyajenge mdada✓Nina miaka 25
✓Nimwajiliwa
✓naitaji mume awe very serious akiwa mkristo itapendeza naitaji ndoa
✓Akiwa mkoa wowote ama nchi yoyote ni sawa
✓Awe mcha mungu na mwenye hofu ya mungu
✓Umri wake uwe 35 kushuka chini mpka 28
oda ila nina sifa zote,nije PM?Hellow!
Habarini wapendwa mimi ni mwanamke, nahitaji mwanaume mwenye nia ya dhati, bila kujali nina mtoto au sina mtoto
SIFA ZANGU
Umri:30yrs
Marital Status:Single,sijawahi kuolewa
Colour:Maji ya kunde
Kabila:Mkinga
Education:Bachelor of degree
Kazi:Nimeajiriwa,
Dini:Mkristo- Roman catholic
Makaz: Dar-es-salaam
SIFA ZA MWANAUME NINAYEMUHITAJI
Umri: kati ya miaka 35 mpka 41
Height- sio muhimu
Colour:sio muhimu
Body size: sio muhimu pia
Makazi: DSM
Kazi: awe anajishughulisha na kazi inayomwingizia kipato ili maisha yasonge
Ila tuh awe mwenye kujiheshimu, mapenzi ya kweli, asiwe muongo uwazi ndio kila kitu, asiwe mkali kwa sababu mimi ni mpole sana atanionea,
ASANTE.
NB: kama unataka kujaribu nakuomba please usije PM, Ninamaanisha..
Ni PM✓Nina miaka 25
✓Nimwajiliwa
✓naitaji mume awe very serious akiwa mkristo itapendeza naitaji ndoa
✓Akiwa mkoa wowote ama nchi yoyote ni sawa
✓Awe mcha mungu na mwenye hofu ya mungu
✓Umri wake uwe 35 kushuka chini mpka 28
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umri: 30
Makazi: Zanzibar
Elimu: Degree
Kazi: Mission Town
Rangi:Mweusi
Jinsia:Me
Kuhusu Mimi: Mpole, mchapakazi, msikivu sana
Ninayemtaka
Umri:Wowote
Elimu:Ajue kusoma na kuandika,form four na kuendelea itapendeza
Kazi:Sio kigezo kwangu
Rangi: Yoyote awe mwenye afya, asiyejichubua/no skin bleaching
Watoto : Wasizidi wawili na wasiwe watundu sana la sivyo watachezea makonzi kwenda mbele.
kukuspoil, How?Natafta mtu tu wa kunispoil and I will love you unconditionally. .
Wee nae fara!! Pm hujibu unatanga tanga tuSifa zangu
Dini -mkristo
Elimu- Degree
Kazi- muajiriwa serikalini
Sifa za mwanaume nimtakaye
Umri 35-45
Asiwe na mke
Mkristo
Anayejishughulisha