Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhaaaHivi wakuu vigezo vyangu hamjaviona?
Sawa kijana wanakujaMimi ni mwanaume(27),
Mabibo hostel, Ubungo
Dsm
Rafiki wa kike, wakubadilishana mawazo.
Mhhhh nadhani utapata wengi sanaMimi ni mwanaume
Nipo New York city
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi ni Me,Habari za wasaa huu!
Hey Ladies and Gentlemens hapa nataka kila Me/Ke atoe location au codes mfano Useme hivi.
Mimi ni Me
Nipo Dodoma Mjini
Mtaa wa Area C near NAM Hotel
Au
Mimi ni Ke
Nipo Iringa Mjini
Mahali Kihesa
Toa na mtaa
Kama ni kijijini useme pia labda
Mimi Ke
Nipo Tanga Muheza
Sehemu Amani
Kijiji cha Ndole and so on
Toa taarifa muhimu watu watalike nakuja PM. Kama unatafuta mwenza aliye karibu yako hii itarahisisha. Mambo yatakuwa mepesi
Note: Hii ni kwa ajili ya watu wanamind distance wengine kumdate mtu yuko mtwara na yeye yuko Kigoma ni ishu kwa that distance matters
Mimi ni mwanaume
Miaka 35
Rafiki wa kike wa kubadilishana mawazo
Naishi Ubungo
Dar
Ukipewa mawazo siyo lazima kuyakubali au yakubadilisheMawazo ya mwanamke unayetaka akubadilishie akupe yake achana nayo mawazo yao hayafai