Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona jina lako hapo inaonyesha mudi lakini umesema wewe wa kike?Ooh 26 ni mingi ingekuwa 20 au 22 ningekuja pm [emoji17][emoji17] siyo bahati
Sasa iyo laivu si ndo inaanza na urafiki pamoja na kubadilisha a mawazo?Hata urafiki wasiseme huenda usiwepo.
Waseme tu laivu.
Nipo geita pia..ila me..njoo pm
Hapa tayari.Nipo geita pia..ila me..njoo pm
KwaiyoMimi ni mwanaume Nina miaka 39 naishi Tegeta Dar es salaam Tanzania.
Akae na mawazo yakeMawazo ya mwanamke unayetaka akubadilishie akupe yake achana nayo mawazo yao hayafai
Hyo picha yako au unatutega tuMe kama me
From stone citty
Hyo picha yako au unatutega tu
AhaaaNmecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwingine nae alikujaga pm akadhan mim ndio huyu[emoji23][emoji23]
Natamani niwe Jirani yako[emoji12]Kwaiyo
Kivuruge mwingine at work[emoji16][emoji34]Akae na mawazo yake
Sawa mkuu [emoji16][emoji16]Dume haswa lipo nangulukulu.
mimiNiko kitandani.Najiskia upwekee.Nani yuko macho?