Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Ammennnn!! Tule pilauu!!✌️Mungu awape mahitaji yenu mpatewenza wema tuje kula pilau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ammennnn!! Tule pilauu!!✌️Mungu awape mahitaji yenu mpatewenza wema tuje kula pilau
Kabisa dada japo naona wanaume ndio wengi zaidi wanawake tunawategea kubalance Uzi😂Ammennnn!! Tule pilauu!!✌️
Kabisa dada japo naona wanaume ndio wengi zaidi wanawake tunawategea kubalance Uzi😂
Kumbe si mnaweza kujikuta watano pm moja mwamba anajichagulia tu🤣🤣🤣Hhahahaha wanawake wanarespond Pm dadake!
Kelsea hii imekupitaje jamani? Hutaki ishi jijinla paris na mtaalam wa ndegeJINA: MR. Dafriana da Cruz
NAISHI: FRANCE na TANZANIA
ELIMU: Masters in air craft engineering
RESIDENTS: Lille, France
KAZI: Engineer wa ndege
HELA: Zipo
GARI: ninalo
UMRI: miaka 27
UMBO : half-cast, mrefu na mwili wa wastani
nahitaji mwanamke yoyote yule mwenye rangi yake ya asili. awe mweupe au mweusi ila asijichubue
kama hana biashara nitamfungulia ili awe busy maana mimi kazi nafanyia ufaransa ila akiwa tayari naweza kuja nae huku kwangu
awe na dini yoyote
awe mkweli na mwaminifu
NAWAPENDA SANA SANA
Kwani ubaya upo wapi mkiwa watanoKumbe si mnaweza kujikuta watano pm moja mwamba anajichagulia tu🤣🤣🤣
😂😂Hakuna ubaya nimewaza tuKwani ubaya upo wapi mkiwa watano
Ndoivo dadake!Kumbe si mnaweza kujikuta watano pm moja mwamba anajichagulia tu🤣🤣🤣
Ndioo ndiooooooo!!!Mimi nina wangu tayari. Ngoja wengine wajaribu bahati zao.
Shukrani my dear.Ndioo ndiooooooo!!!
Kila la kheri dear ! Enjoy😘!
Hongera sana dearMimi nina wangu tayari. Ngoja wengine wajaribu bahati zao.
Ahsante 😍Hongera sana dear
mimi nipo jamani[emoji3064]Hivi Glenn umepata tayari au Nije pm tuyajenge
Karibu sana naona Glenn kachelewa sana😀mimi nipo jamani[emoji3064]
Ngoja nije PM😎Karibu sana naona Glenn kachelewa sana😀