Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Shirikiana na Lenie

Huyo Lenie anajua pigo zangu, peana desa hapo chap
Tall, dark, handsome nini nini sjui... Ila didi ake kwa umri huo unatakiwa ubebe yoyote tu mradi anapumua
Umri umekutupa mkono
 
Age is just a number jamani emu msinivuruge 🤣🤣🤣

Mad Max em soma vitu napendelea
 
Back
Top Bottom