Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Kuna mtandao unaitwa bumble uko play store,
Umefanya mambo kuwa rahisi...

Uko ni wakina dada tu ndio wanakuanza
(First move)
Wewe ni ku like profile na kusubiri m match.

Utanishukuru baadae.
 
Wachaaa weee, upo kama tagged?
 
👉 Umri 30
👉 Dini ; Islamu
👉 Mkoa ; Dar
👉 kazi ; Ufundi
👉 Natafuta mchumba aliye serious tuyajenge, sibagui Dini wala kabila..
 
Kuna mtandao unaitwa bumble uko play store,
Umefanya mambo kuwa rahisi...

Uko ni wakina dada tu ndio wanakuanza
(First move)
Wewe ni ku like profile na kusubiri m match.

Utanishukuru baadae.
Bumble kuna pisi zimesimama sanaaa

Wanaopenda mishangazi corporate wajiunge aisee

Atleast bumble hakuna wadangaji kama tinder na badoo
 
Umri - 31
Dini - Muislam
Kazi - Economist
Location - Dodoma
Natafuta Binti aliye serious
Umri sio kikwazo.
Ni PM kama upo Serious
 
Umri:35yrs
Kazi:Biashara
Chama:CCM
Hobby:Kusafiri nchi mbalimbali
Nisichopenda:CHADEMA
Mke nimtakaye:
i- awe mwanachama hai wa CCM mwenye umri kuanzia 35 - 45. Aliyejaliwa neema za Allah atapewa kipaumbele.
ii - awe angalau na C ya hesabu kidato cha nnne.
iii - awe msabato safi anayefuata taratibu za kanisa lake.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] daah
 
Umri:35yrs
Kazi:Biashara
Chama:CCM
Hobby:Kusafiri nchi mbalimbali
Nisichopenda:CHADEMA
Mke nimtakaye:
i- awe mwanachama hai wa CCM mwenye umri kuanzia 35 - 45. Aliyejaliwa neema za Allah atapewa kipaumbele.
ii - awe angalau na C ya hesabu kidato cha nnne.
iii - awe msabato safi anayefuata taratibu za kanisa lake.
😂😂😂
 
[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom