Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Ahsante mkuu.Hahaha pole mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu.Hahaha pole mkuu
Wachaaa weee, upo kama tagged?Kuna mtandao unaitwa bumble uko play store,
Umefanya mambo kuwa rahisi...
Uko ni wakina dada tu ndio wanakuanza
(First move)
Wewe ni ku like profile na kusubiri m match.
Utanishukuru baadae.
Sijawahi tumia tagged.Wachaaa weee, upo kama tagged?
Duh kumbe upweke unachoshaNani aje kwa pm tuyajenge nimechoka na upweke.
Bumble kuna pisi zimesimama sanaaaKuna mtandao unaitwa bumble uko play store,
Umefanya mambo kuwa rahisi...
Uko ni wakina dada tu ndio wanakuanza
(First move)
Wewe ni ku like profile na kusubiri m match.
Utanishukuru baadae.
Unakuwa kama pampula.Hapa ni mwili unakuwa umekukubali halafu umekukutaa
Na sie tuliozeeka kidogo vipi😀Umri - 31
Dini - Muislam
Kazi - Economist
Location - Dodoma
Natafuta Binti aliye serious
Umri sio kikwazo.
Ni PM kama upo Serious
[emoji16][emoji16][emoji16] daahUmri:35yrs
Kazi:Biashara
Chama:CCM
Hobby:Kusafiri nchi mbalimbali
Nisichopenda:CHADEMA
Mke nimtakaye:
i- awe mwanachama hai wa CCM mwenye umri kuanzia 35 - 45. Aliyejaliwa neema za Allah atapewa kipaumbele.
ii - awe angalau na C ya hesabu kidato cha nnne.
iii - awe msabato safi anayefuata taratibu za kanisa lake.
😂😂😂Umri:35yrs

Unakaribishwa pia PMNa sie tuliozeeka kidogo vipi😀
Una kadi ya chama?[emoji16][emoji16][emoji16] daah
[emoji2][emoji2][emoji2]Umri:35yrs