Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Sisi wa mataifa ndyo tupo shauri yakoHahahahahah daah na wamataifa siwataki hata🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wa mataifa ndyo tupo shauri yakoHahahahahah daah na wamataifa siwataki hata🤣🤣🤣🤣
Na ndo tupo 😂😂😂Hahahahahah daah na wamataifa siwataki hata🤣🤣🤣🤣
mshamba_hachekwi ushindwe wewe tu Changamkia fursaRasmi nmeamua kutangaza nia
Jinsia: Ke
Umri :23+
Elimu yangu ni kidato cha nne, ila nmesoma short couse ya computer application na hotel management
Dini: ni mkristo
Rangi yangu ya ngoz ni ya kawaida sio mweusi wala sio mweupe nipo katikat hapoo na ni mrefu pia mwembamba mwenye tu nyama
Nb: kwa alieko serious tuchekiane Pm na maelekez zaidi,, natanguliza shukran
Mtaniingiza pabayaSisi wa mataifa ndyo tupo shauri yako
Daaah hahaha mtego huu sirekebishi hata tone🤣🤣🤣🤣🤣Na ndo tupo 😂😂😂
Wewe rekebisha bandiko lako upate mke
Shauri yako km utampata mke, humu tupo migume gume ilioshindikana na mitume 🤣🤣🤣Daaah hahaha mtego huu sirekebishi hata tone🤣🤣🤣🤣🤣
Pm kumejaa huko ila sifungui hata kwa dawa 🤣🤣🤣🤣Shauri yako km utampata mke, humu tupo migume gume ilioshindikana na mitume 🤣🤣🤣
Sema kweli?? Nialike niwe nakusaidia kusoma maombi ya wahitaji boss 🤣🤣🤣🤣Pm kumejaa huko ila sifungui hata kwa dawa 🤣🤣🤣🤣
Utaniharibia pisi zangu za kipendwa wewe🤣🤣🤣🤣Sema kweli?? Nialike niwe nakusaidia kusoma maombi ya wahitaji boss 🤣🤣🤣🤣
We huna haja ya kujipima nimeshajua kilo zako najua nitawezana, japo unaonekana wa kishua ila "nitapambana"Hahaa mbona sijaona sifa unazozitaka ni nijipime mkuu?
Wa kishua? Haha huku Buza kuna ushua gani huo mkuu, kwahiyo nije Sudan ? Duh😀We huna haja ya kujipima nimeshajua kilo zako najua nitawezana, japo unaonekana wa kishua ila "nitapambana"
Fanya basi usogee hapa South Sudan [emoji1232]
Unasubiri bigula mkuu?Wa kishua? Haha huku Buza kuna ushua gani huo mkuu, kwahiyo nije Sudan ? Duh[emoji3]
Na walivyo wa cute basi tena ushaibiwa hivoUmasubiri bigula mkuu?
Fanya yere kabla wa Sudan hawajapindua meza.
Hawakuzidi mkuuNa walivyo wa cute basi tena ushaibiwa hivo
Siwafikii kabisaaHawakuzidi mkuu
Sawa mkuu, kuna njia nyingi za kunyimana fursaSiwafikii kabisaa
Si ndiyo vizuri watoto wanatafutwa mkuu, kisipolia hicho kitanda kuna shida hapo, lazima kitanda kipige makeleleapa muda si mrefu tutasikia kitanda kinalia kwiichi kwiichi kwiichi