Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Rasmi nmeamua kutangaza nia

Jinsia: Ke
Umri :23+
Elimu yangu ni kidato cha nne, ila nmesoma short couse ya computer application na hotel management
Dini: ni mkristo
Rangi yangu ya ngoz ni ya kawaida sio mweusi wala sio mweupe nipo katikat hapoo na ni mrefu pia mwembamba mwenye tu nyama

Nb: kwa alieko serious tuchekiane Pm na maelekez zaidi,, natanguliza shukran
mshamba_hachekwi ushindwe wewe tu Changamkia fursa
 
mi nahitaji mwanamke wa sifa hizi

umri mwisho miaka 25

awe mrefu, mweupe

apatikane muda wowote ntakaomuhitaji.

Napatikana Mwanza, umri 31 yrs
 
Back
Top Bottom