Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mkate mgumu kwenye chai mkuu toa mpungaShida mabint wa humu wagumu hupat pis zilito romantic yaan zinakuja ngoma kama halima mdee dokta gwajima au zumarid tu
Sogea Kambi yoyote ya Jeshi iliyokaribu na weweKuna wanajeshi humu?
Mwenye bega zito
Mrefu mweusi tii
Ngerengere Air Force BaseSogea Kambi yoyote ya Jeshi iliyokaribu na wewe
Hapana kauzu hivyo hapanaView attachment 3102206
hapo vipi
Njoo nikupeleke basi, utalala kwangu hapa siku moja siku ya pili twaenda kambiniNgerengere Air Force Base
KiZUKA
Ila siwaoni haki 😄
Kwani shangazi hapelekewi motoHakuna mke umu, Fake id mara umekutana na Shangazi yako .
hahahaHapana kauzu hivyo hapana
Njoo nikupeleke basi, utalala kwangu hapa siku moja siku ya pili twaenda kambini
Haiombwi hivyo🤓🤓Njoo nikupeleke basi, utalala kwangu hapa siku moja siku ya pili twaenda kambini
Nipo jirani kabisa na Kambi, na wengine hupita hapa kwangu wakati wanaenda mjini