Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Umri:24
Dini: mkristo
Makazi:Bunju
Elimu😀egree(Baed)
NB:ndio nimemaliza chuo mwaka huu hvo sijaajiriwa bado .najitafuta Kwa biashara za hapa na pale..NAHITAJI MTAFUTAJI MWENZANGU🙏
 
Maybe naweza nikasema ninatafuta rafiki
age: -21 (<=2I)
sex: ke
location: morogoro mjini
academically: (greater to) >0-level
phone:+255746870201
 
Shida mabint wa humu wagumu hupat pis zilito romantic yaan zinakuja ngoma kama halima mdee dokta gwajima au zumarid tu
Hakuna mkate mgumu kwenye chai mkuu toa mpunga
Mtu anakuomba namba anaanza kukutumia mchana mwema na usiku mwema😅😅😅😅
Mwanaume umepata namba unamshtua mtu na muamala kumchangamsha safiiii.
 
Kuna wanajeshi humu?
Mwenye bega zito
Mrefu mweusi tii
Screenshot_20240720-192337~2.jpg

hapo vipi
 
Back
Top Bottom