😀😀😀😀Basi utakuwa "vere byutifu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Olympia wa porusView attachment 836035
Aiseeh,,,,Leo nimekutana na mtu wa nne anasema nafanana na baby mama wa dogo aslay anaitwa Tessy ChocolateView attachment 839637
Kazuri kweli.Aiseeh,,,,
Kuna wasichana warembo/wazuri dunia hii. Huyu nimemvulia kofia....
Lipy ChunkyYaaap ndo tunafananaView attachment 835906
NAUNGA MKONO HOJA.Ukishaweka avatar ambayo sio yako hatuna haja ya kukufananisha.
Tatizo liko pale pale.Kazuri kweli.
Kwakweli kametulia mpaka kamepitiliza sasa mweeeh!!!!Kazuri kweli.
Mbona mabonge wako sawa tu na wanafikika vizuri.Mimi niko kama huyo.
Japo tunaambiwa mabonge hatuna ishu...ila ndo najikubali.
View attachment 864385View attachment 864387
Nakusubiri Pm ujue.Mbona mabonge wako sawa tu na wanafikika vizuri.
Nakusubiri Pm ujue.
Nishatangulia na Ky yangu ujue