Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Goooooooooooal
Sudaaaaaan
Chumaaaaaaa
2-0
 
😁😁😁😁 waangalie asijinyonge

Mr. Ngenge
 
Kipindi cha pili kinaanza.
Nigeria wanafanya mabadiliko matatu
 
Ngenge amefanyiwa Sub hali haikuwa poa kabisa kwake
 
Sudan wakirudi wanaweza wajawaongeza,labda Ngenge atoke,maana kashapagawa akirudi atataka kufosi mambo matokeo yake ajipige tena,anacheza kimamlukimluki sana.
Kapagawa vibaya sana solution ni kumtoa tu kama kocha alivofanya
 
Automatic ilikuwa lazima wamtoe tu hata yeye hawezi kuwa sawa kiakili na kuendelea kucheza vizuri
Hapo ndo wamemuua kisaikolojia kabisa,atateseka sana kichwani huyo Ngenge the goal owner.
 
Kapagawa vibaya sana solution ni kumtoa tu kama kocha alivofanya
πŸ˜† πŸ˜„ πŸ˜„ ponepond yake,aende nje ya uwanja kabisa,atakua anaumia sana kuona wenzake wanajitutumua kusawazisha makosa aliyoyaanzisha,maskini Ngenge.
 
Hapo ndo wamemuua kisaikolojia kabisa,atateseka sana kichwani huyo Ngenge the goal owner.
Yeah siku ataiona chungu sana kwake kumsaidia wasimlaumu wachukulie kawaida tu it sometimes happen si kwa kupenda
 
πŸ˜† πŸ˜„ πŸ˜„ ponepond yake,aende nje ya uwanja kabisa,atakua anaumia sana kuona wenzake wanajitutumua kusawazisha makosa aliyoyaanzisha,maskini Ngenge.
Wamepigwa cha 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…