Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

59'
Sudan 3
Nigeria 0
Game on....
Sudan wanapata kona
 
59'
Sudan 3
Nigeria 0
Game on....
Sudan wanapata kona
Mkuu mbona unaikosea maana hii Sentensi Game On...

Hii sio Game on ni Dead and Buried..., Game on ni kama wadau wangerudisha na sio kuongezwa....
 
Mkuu mbona unaikosea maana hii Sentensi Game On...

Hii sio Game on ni Dead and Buried..., Game on ni kama wadau wangerudisha na sio kuongezwa....
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimekuelewa.
Hawa Wasudan wako strategic sana
 
Yaani hapo ndipo huwa nashangaa.Wako vizuri licha ya kutokuwepo utulivu kwao
Hawana ligi yoyote nchini kwao.
Lakini wanafanya wonders.
Kuna mataifa yana amani lakini hayaja qualify kwenye haya mashindano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…