View attachment 3427767
🔴 CHAN 2024: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji kwa mara ya kwanza.
Mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 yanatarajiwa kuanza rasmi
Jumamosi hii, Agosti 2, 2025, yakifanyika kwa mara ya kwanza kwa ushirikiano wa nchi tatu:
Tanzania, Kenya na Uganda chini ya kauli mbiu ya
“PAMOJA”.
- 🗓 Tarehe: 2 – 30 Agosti 2025 (yaliahirishwa kutoka Februari na CAF)
- 🏟 Waandaaji: Tanzania (Dar, Zanzibar), Kenya (Nairobi), Uganda (Kampala)
- ⚽ Mechi ya ufunguzi: Tanzania 🇹🇿 vs Burkina Faso 🇧🇫 — Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam
- 🏆 Fainali: Itachezwa Nairobi – Kasarani Stadium (30 Agosti)
View attachment 3426444
🏟 Groups & Viwanja
| Kundi | Nchi Zilizo kwenye Kundi | Uwanja |
|---|
| A | Kenya, Morocco, DRC, Angola, Zambia | Kasarani & Nyayo, Nairobi |
| B | Tanzania, Madagascar, Mauritania, Burkina Faso, CAR | Benjamin Mkapa & Amaan (Zanzibar) |
| C | Uganda, Algeria, Guinea, Niger, South Africa | Mandela Stadium, Kampala |
| D | Senegal, Sudan, Nigeria, Congo | Amaan Stadium, Zanzibar |
Mashindano haya ni
fursa adhimu kwa Afrika Mashariki – si tu kwenye uwanja, bali pia kiuchumi, kiutalii na kiutamaduni.
Je, unadhani wenyeji watafanya vizuri? Je, Tanzania ina nafasi ya kutinga nusu fainali?
View attachment 3428350
🗣 Karibu maoni yako hapa...
Nitajitahidi kutoa Updates kwa kadiri ya uwezo.
Matokeo ya Match ya Kwanza
02.08.2025
View attachment 3428845
MECHI ZA LEO 03.08.2025
View attachment 3429379
MECHI ZA LEO
August 4, 2025
17:00 – Niger 🇳🇪 vs 🇬🇳 Guinea
20:00 – Uganda 🇺🇬 vs 🇩🇿 Algeria
View attachment 3430809
August 5.
17:00 – Congo 🇨🇬 vs 🇸🇩 Sudan
20:00 – Senegal 🇸🇳 vs 🇳🇬 Nigeria
August 6
17:00 – Burkina Faso 🇧🇫 vs 🇨🇫 Central African Republic
20:00 – Mauritania 🇲🇷 vs 🇹🇿 Tanzania
August 7
16:00 – DR Congo 🇨🇩 vs 🇿🇲 Zambia
19:00 – Angola 🇦🇴 vs 🇰🇪 Kenya
August 8
17:00 – Algeria 🇩🇿 vs 🇿🇦 South Africa
20:00 – Guinea 🇬🇳 vs 🇺🇬 Uganda
August 9
17:00 – Central African Republic 🇨🇫 vs 🇲🇷 Mauritania
20:00 – Tanzania 🇹🇿 vs 🇲🇬 Madagascar
August 10
15:00 – Kenya 🇰🇪 vs 🇲🇦 Morocco
18:00 – Zambia 🇿🇲 vs 🇦🇴 Angola
August 11
17:00 – South Africa 🇿🇦 vs 🇬🇳 Guinea
20:00 – Uganda 🇺🇬 vs 🇳🇪 Niger
August 12
17:00 – Senegal 🇸🇳 vs 🇨🇬 Congo
20:00 – Sudan 🇸🇩 vs 🇳🇬 Nigeria
August 13
17:00 – Madagascar 🇲🇬 vs 🇨🇫 Central African Republic
20:00 – Mauritania 🇲🇷 vs 🇧🇫 Burkina Faso
August 14
17:00 – Morocco 🇲🇦 vs 🇿🇲 Zambia
20:00 – Angola 🇦🇴 vs 🇨🇩 DR Congo
August 15
17:00 – Guinea 🇬🇳 vs 🇩🇿 Algeria
20:00 – Niger 🇳🇪 vs 🇿🇦 South Africa
August 16
20:00 – Burkina Faso 🇧🇫 vs 🇲🇬 Madagascar
20:00 – Central African Republic 🇨🇫 vs 🇹🇿 Tanzania
August 17
15:00 – DR Congo 🇨🇩 vs 🇲🇦 Morocco
15:00 – Zambia 🇿🇲 vs 🇰🇪 Kenya
August 18
20:00 – Algeria 🇩🇿 vs 🇳🇪 Niger
20:00 – South Africa 🇿🇦 vs 🇺🇬 Uganda
August 19
20:00 – Nigeria 🇳🇬 vs 🇨🇬 Congo
20:00 – Sudan 🇸🇩 vs 🇸🇳 Senegal