Nyie banaaaa hata aje Messi hamtakumbali...kaupiga mwingi mnoo
Nipitie tukashirikiane mtani tuwaache waganda hoiiii
Alitanua mikono, Alitakiwa kuificha au kuirudisha karibu na kiwiliwiliHyo penalt ya mwisho labda mm ndo sijui mpira niendelee tuu kushangilia...mbona haku intend kugusa mpira?
Wewe tena andaa hela za wine....mambo yasiwe mengi...Haya hapo kisemvule kuna air strip nitue nikuchukue mwana thimba
Nashukuru wadau....Alitanua mikono, Alitakiwa kuificha au kuirudisha karibu na kiwiliwili
Ukirudia kuangalia utaona alitanua hata kama hukukusudia kwa sharia za FIFA iyo ni penalti.
Sii katoka huyo sauz tuu na mwenzie nigeriaNashukuru wadau....
Itoshe kusema timu zootee zilizotarajiwa kufanya vzr zimetoka
Senegal hakuwepo au burkinabe...Sii katoka huyo sauz tuu na mwenzie nigeria
Tupe mbili tatu za huko nasikia majimama wanakata viuno huko mitaa ya JinjaHawa waganda wangepigwa tu yaani mji huku umechafukwa
KasuguuuuuuuNyie banaaaa hata aje Messi hamtakumbali...kaupiga mwingi mnoo
Nipitie tukashirikiane mtani tuwaache waganda hoiiii
Senegall sii bado yupo anacheza kesho.Senegal hakuwepo au burkinabe...
Ndo mumeo? Ila wanaume wengine wambea jamanii...kwa kudandia tren kwa mbelee kama kina Anco TKasuguuuuuuu
Aah kumbee basi sauwaaa...Senegall sii bado yupo anacheza kesho.
Burkinabe nao wana time wanawakata viuno.
Wa hezaji wengi waliokuja wala hawana timu ndio ilikuwa muda wao wakuniuza ila nao wamembwelaNa wameleta kikosi B na hakuna walikoenda