Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Na wameleta kikosi B na hakuna walikoenda
Walipuuzia wamepata walichostahiri wacha wafunge virago waende kuendelea na hiyo ligi yao wanayoiheshimu CHAN is not for the WEAK
 
Sasa timu ikishinda unaambiwa ni ushindi wa Mama. We kwa akili yako unaona mama anakubalika?
 
Shida ni Huyu Bi Mwenda anatuvuruga Timu ikishinda wanadai ni mafanikio ya serikali ya CCM na Utawala wa Bi Mwenda si Ujinga huo nani anamtaka huyo sa100
 
Shida ni CCM...
 
Mahondaw njoo shuhudia ndugu zetu huku wamefunga bana
Hakika Mungu ni mwema!
Japo mechi za jana nimezikosa nitajitahidi niangalie marudio ya hii mechi!


Hurrrrrrrrraaayyyyy Uganda hurrrrrrrrraaayyyyy Tanzania

Kila la kheri kwenyu πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬


Cc Smart911
 
Mitano tena... Oktoba tunatiki... Kwanza awali ya yote nimshukuru Mama kwa ushindi...shida ipo hapo
 
Ilikuwa burudani saana
 
Sudan wanakosa goli wakiwa na kipa tu
 
Dakika 70
Sudan 0
Senegal 0
 
Dakika ya 73
Nigeria 1
Congo Braz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…