Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Huyu Kagoma hafai, Anapoozesha mipira na anacheza faul sana.Ameshakula Yellow anahatarisha Red, atolewe haraka.
 
Kipindi cha pili tukikaza hapa tuna goli letu

Ninachokiona jamaa hawa waarabu wanacheza kimipango sana saivi tempo wanacheza ya chini ngoja kwanzia dakika ya 70 uone moto .

Na sisi hapo ndio tunahitaji kuwa na benchi zuri yaani kitoke chuma kiingie chuma mbona leo wangeyatimba hawa waarabu?

Anyway hii game tunashinda

Kqgoma ndio ajiqngalie lakini akitoka yeye aingle nani??

Licha ya hayo amejitahidi sana leo kabadilika back pass kaacha anajaribu sana kupiga pass za mbele nadhani mmeona
 
Hawa hawatoboi cha pili tunawagonga vizuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…