Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wamevurugwa, media zikaona zisiwe shahidi mtu akimwagwa damu ikabidi waonyeshe mashabiki tu
[emoji23][emoji23][emoji23]wamezingua me nilikuwa nasubiri nione kitamkuta nn refa
 
🀣🀣🀣 watu wamevurugwa, media zikaona zisiwe shahidi mtu akimwagwa damu ikabidi waonyeshe mashabiki tu

[emoji23][emoji23][emoji23]wamezingua me nilikuwa nasubiri nione kitamkuta nn refa


huko ulaya sheria sasahivi zinakata kuonesha matukio kama hayo kwenye tv kwa lengo la kupunguza umaarufu , sjajua huku kwetu afrika vipi.




mtaalamu makala anatoa orodha ya wagombea wa chama cha kitapeli cha ccm
 
Ni bora ushabikie Waarabu kama hutaki stress ngozi nyeusi zina matatizo makubwa sana
Zamani nilikuwa naichukia sana timu ya taifa ya Egypt, hasa baada ya kubeba ubingwa wa Afrika mfululizo kwa kuzibonda timu za West Africa, ila baada ya kujua Egypt na Waarabu wengine wako serious sana na soka, sina chuki nao tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…