Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Tuliwaotea tu
Hapana; tuliwakung'uta vizuri sana hadi tukaongoza kundi. Kocha wetu hakuiandaa timu vizuri kwenye robo fainali ndiyo maana tukatolewa, vinginevyo tungeweza kukutana na Madagascar tena kwenye fainali na kuwakung'uta tena
 
Hapana; tuliwatung'uta vizuri sana hadi tukaongoza kundi. Kocha wetu hakuiandaa timu vizuri kwenye robo fainali ndiyo maana tukatolewa, vinginevyo tungeweza kukutana na Madagascar tena kwenye fainali na kuwakung'uta tena
Nakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…