Kama kawa kwanza simba na yanga day lini tukabambie warembo 🤣🤣🤣🤣Sie ni wazee wa Simba SC na Yanga SC
Kama kawa kwanza simba na yanga day lini tukabambie warembo 🤣🤣🤣🤣Sie ni wazee wa Simba SC na Yanga SC
Hakuna cha kubebwa, shida yenu mnawachukia tu waarabu... so mtakalia matusi tu mpira hatuna... Morocco wanajua ball wewe 🇲🇦Wanabebwa hakuna kitu hao makuma...kama Wana uwezo wangeifunga Kenya goli 7, na leo wangeifunga Senegal goli 5....makuma tu hawana uwezo wowote ule...🚮
Dah uzi ulisimama toka j2.Leo tena
Kwa Mkapa
Makuma hawajui lolote ...unafungwa na Kenya unajua nini bladfaken ...kubebwa tu kama mapumbu ya ng'ombe...🚮🚮🚮Hakuna cha kubebwa, shida yenu mnawachukia tu waarabu... so mtakalia matusi tu mpira hatuna... Morocco wanajua ball wewe 🇲🇦
Nitajie timu gani ya weusi ingeweza kupambana na Portugal 🇵🇹 au ufaransa!
Waarabu akili nyingi kubali kataa
😀😀Kama kawa kwanza simba na yanga day lini tukabambie warembo 🤣🤣🤣🤣
We Kumah...moroko walishasema wao sio waafrika...na walishaomba wajitoe jumuiya za kiafrika..wao ni wazungu ...makuma tu hawana lolote ...makuma tu...
Kenya alibahatisha tu, ana mpira gani kutuzidi!! Japo tumetolewa lakini tulipambana.Makuma hawajui lolote ...unafungwa na Kenya unajua nini bladfaken ...kubebwa tu kama mapumbu ya ng'ombe...🚮🚮🚮
Sisi ni mabingwa. Si tulishawafunga hawa hahahahahaTanzania tuliifunga Madagascar lakini sasa inakwenda fainali.
Moroko ni makuma tu..kwanza wao sio waafrika....siwez kumpa heshima mtu mwafrika anaektaa uafrika sababu ya kuwaona waafrika kinyaaa...ni Kumah tu huyo mtu....na zaidi unafungwa na Kenya, unatoa droo na timu ndogo ndogo ..halafu useme unajua Mpira...labda mpira wa condomMatusi yako yameisaidia nini taifa star!!
Waarabu wamebarikiwa, nyie endeleeni kuwasikiliza akina mond na harmo huku wanaume wanasakata kandanda
Moroko ni makuma tu..kwanza wao sio waafrika....siwez kumpa heshima mtu mwafrika anaektaa uafrika sababu ya kuwaona waafrika kinyaaa...ni Kumah tu huyo mtu....na zaidi unafungwa na Kenya, unatoa droo na timu ndogo ndogo ..halafu useme unajua Mpira...labda mpira wa condom
Kuna vitu huwa havijifichi, Ile game ya Morocco na TZ mimi niliwaambia mapema kabisa kuwa Waarabu wanavyocheza unaona kabisa kuwa wanajua...kuanzia Ball control, Dribbling, kuonana, short passes n.k....halafu hawana kupanicHakuna cha kubebwa....Shida kuna viumbe wanawachukia tu waarabu bila sababu, sio kwamba hawajui kuwa hawabebwi, wanajua sana ila ubaguzi/chuki dhidi yao ndio inawatesa, ball wanalijua tena sanaa.
Mtu mweusi yupo radhi kushabikia ujerumani au ufaransa na asishabikie (Algeria, Egypt, Libya, Morocco na Tunis) kisa mwarabu, japo sio waafrika wote wenye akili za hivyo.
Mimi ni Morocco 🇲🇦 and Algeria 🇩🇿 hapa huniambii kitu
Kuna vitu huwa havijifichi, Ike game ya Morocco na TZ mimi niliwaambia maoema kabisa kuwa Waarabu wanavyocheza unaona kabisa kuwa wanajua...kuanzia Ball control, Dribbling, kuonana, short passes n.k....halafu hawana kupanic
Wanagusa tu🤣🤣🤣
Ndio akina nani sasa?Mabedui ni neno la kiswahili liloltumiwa kuwaelezea watu hao tangia karne ya 18. Lilionekana sana kwenye vitabu vyenye hadithi za kufikirka kama vile Hekaya za Abunuwasi, Mazungumzo ya ALfu Lela Ulela, na kwenye vile vitabu 24 za Malimwengu. Nadhani kiswahili kilikuwa hakijakomaa sana wakati huo kwa kutumie prefix ya MA: Mabedui, Mabeberu, Mafarisayo, Mashetani, Mayahudi na kadhalika
Hao Algeria, Egypt, Libya, Morocco na Tunisia uliowataja, wanawaita watu weusi watumwa mpaka leo.Hakuna cha kubebwa....Shida kuna viumbe wanawachukia tu waarabu bila sababu, sio kwamba hawajui kuwa hawabebwi, wanajua sana ila ubaguzi/chuki dhidi yao ndio inawatesa, ball wanalijua tena sanaa.
Mtu mweusi yupo radhi kushabikia ujerumani au ufaransa na asishabikie (Algeria, Egypt, Libya, Morocco na Tunis) kisa mwarabu, japo sio waafrika wote wenye akili za hivyo.
Mimi ni Morocco 🇲🇦 and Algeria 🇩🇿 hapa huniambii kitu
Wee wanadanganya tena parefuuuuuHawadanganyi!!
Hao Algeria, Egypt, Libya, Morocco na Tunisia uliowataja, wanawaita watu weusi watumwa mpaka leo.
Hata ujifanye kuwapenda, wao hawakupendi. Sasa kwanini weusi wajilazimishe kuwapenda?
Hao hao pia ni wabaguzi kupindukia, hasa wamorocco na watunisia.
Umesahau Morocco walipofika nusu fainali ya kombe la dunia walidedicate mafanikio yao kwa nani?
Umesahau Morocco walipofika nusu fainali ya kombe la dunia walidedicate mafanikio yao kwa nani?
Naunga mkono hoja.Kwa nini wafute mzeya sii umeonanhapo tunawajua wachezaji wa ukweli mwanawane....na pia inatuonyesha sie hatujui tufanyalo kwenye mpira.
Haya mashindano matamu sana kama nchi mnajiwekeza ndio mnauza wachezaji wenu.
SawaNdicho mlichokariri....kwanza hakuna uthibitisho wowote wa hicho kilichotamkwa.... kama upo weka hapa tuone.
Narudia tena watu weusi especially kwetu wengi ni wabaguzi na chuki kwa waarabu huu ndio ukweli, na hata wanapokutana timu za weusi na waarabu mnawatenga kama sio wa Afrika.
Sijutii kushabikia magiant wa Afrika MOROCCO 🇲🇦 ALGERIA 🇩🇿