Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Wakikosa Senegal.
Morocco wanaenda Final
 
Morocco wakipata hii mchezo umeisha
 
Kilichonifurahisa sana kwenye mchezo huu ni kuwa timu zote mbili zilikuwa hazifanyi makosa ya kizembe kama vile kupiga pasi isiyofika kwa mlengwa kama timu yetu ilivyofanya wakati wa robo fainali,.
Hawa wanajua mpira bwana
 
Back
Top Bottom