Eeh sio sie kelel nyingi na hamna kituMno yaani
Eeh sio sie kelel nyingi na hamna kituMno yaani
Sie ni wazee wa Simba SC na Yanga SCEeh sio sie kelel nyingi na hamna kitu
Sana mkuu.. wamecheza kiume sana kitu ambacho sisi kilitushinda kwa Morroco.Senegal wanahitaji kusaka striker ila idara zingine zipo poa
Nimefurahi sana, bora ilirudi.Wamepeleka tukio kwenye VAR
Hao ni waarabu wafugaji wa jangwani waliohamia afrika kaskaziniMabedui ni manani?
Sana mkuu.. wamecheza kiume sana kitu ambacho sisi kilitushinda kwa Morroco.
Hao ni waarabu wafugaji wa jangwani waliohamia afrika kaskazini
Mabedui ni neno la kiswahili liloltumiwa kuwaelezea watu hao tangia karne ya 18. Lilionekana sana kwenye vitabu vyenye hadithi za kufikirka kama vile Hekaya za Abunuwasi, Mazungumzo ya ALfu Lela Ulela, na kwenye vile vitabu 24 za Malimwengu. Nadhani kiswahili kilikuwa hakijakomaa sana wakati huo kwa kutumie prefix ya MA: Mabedui, Mabeberu, Mafarisayo, Mashetani, Mayahudi na kadhalikaMabedui ni manani?
Hongereni kwa ubingwa CHAN61% kwa 39% ndio wamecheza kiume!!😄 Morocco wanatumia akili na maarifa na sio kutumia nguvu
Wanamorocco ubingwa unatuhusu
Ndiyo maana watu hulalamika kuwa Morocco hubebwa..
Halafu anakuja mtu eti wanabebwa mara kujiangusha, akili zingine bwana. Ni chuki tu hakuna kingine, ndio maana wenzetu wametuacha mbaliMorocco akili nyingi, kuanzia wanapoanzia golini kwao mpka kuscore🤣
Haya Sasa: Morocco waliopasuliwa na Kenya, na Madagascar waliopasuliwa na Tanzania ndio wanaingia fainali. Ina maana kuwa tumetumia nafasi vibaya kwani fainali ingekuwa kati ya Kenya na Tanzania.
Wanabebwa hakuna kitu hao makuma...kama Wana uwezo wangeifunga Kenya goli 7, na leo wangeifunga Senegal goli 5....makuma tu hawana uwezo wowote ule...🚮Halafu anakuja mtu eti wanabebwa mara kujiangusha, akili zingine bwana. Ni chuki tu hakuna kingine, ndio maana wenzetu wametuacha mbali
Sie tantalila nyingi vitendo sifuri....senwgal wana watu bwana wenzetu lengo lao ni kuexport players to europe so hawataki utani...wanatengeneza wachezaji quality.....aie huku tutaishia kujisifia ligi namba 4 kwa ubora ila wachezaji wa ndani hamna quality.Sana mkuu.. wamecheza kiume sana kitu ambacho sisi kilitushinda kwa Morroco.
Kwa nini wafute mzeya sii umeonanhapo tunawajua wachezaji wa ukweli mwanawane....na pia inatuonyesha sie hatujui tufanyalo kwenye mpira.Nilisema hii chan ifutwe Haina maana yoyote..na fainali viti vitakua na waarabu kumi tu
We Kumah...moroko walishasema wao sio waafrika...na walishaomba wajitoe jumuiya za kiafrika..wao ni wazungu ...makuma tu hawana lolote ...makuma tu...Hakuna cha kubebwa....Shida kuna viumbe wanawachukia tu waarabu bila sababu, sio kwamba hawajui kuwa hawabebwi, wanajua sana ila ubaguzi/chuki dhidi yao ndio inawatesa, ball wanalijua tena sanaa.
Mtu mweusi yupo radhi kushabikia ujerumani au ufaransa na asishabikie (Algeria, Egypt, Libya, Morocco na Tunis) kisa mwarabu, japo sio waafrika wote wenye akili za hivyo.
Mimi ni Morocco 🇲🇦 and Algeria 🇩🇿 hapa huniambii kitu