Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Wamoroko hii style yao ya kukumbatiana vipi?
 
Kilichonifurahisa sana kwenye mchezo huu ni kuwa timu zote mbili zilikuwa hazifanyi makosa ya kizembe kama vile kupiga pasi isiyofika kwa mlengwa kama timu yetu ilivyofanya wakati wa robo fainali,.
 
Huyu referee anafanana na Baba Ubaya
 
Morocco wamepata penati ya kwanza
 
Amepaisha penati ya kwanza kwa Senegal.
Alimwamisha kipa ila ikagonga mtambaa panya
 
Morocco 2
Senegal 1
Penati inapigwa
 
Inaonekana kama kipa wa Senegal siyo mzuri kwenye mikiki ya penalty
 
Back
Top Bottom