Mnaamua wote mwandike kwa italic.Hakuna kitu kama hicho, waafrika wanaongoza kwa ubaguzi japo sio wote, kabla ya world cup ni lini mliwapenda waarabu!! Kila mara kuwasema vibaya na kuonyesha ubaguzi na chuki ya wazi kabisa wakati wao hawana time na nyie, na ndio maana wanapata maendeleo makubwa.
Alokwambia morocco waarabu nani ww
Wakafie mbali huko, team Dima maghreb 🇲🇦🇲🇦🇲🇦😄Senegaaaaaaaaaal...imetoka nje
Tushamtoa hahaaaaSenegal hana ufundi wa kumfunga Morocco...anategemea counter attack tu, watapigwa sasahivi 🤣
Umekwepa hoja zingine zote, umeamua kufocus na hii moja?Ndicho mlichokariri....kwanza hakuna uthibitisho wowote wa hicho kilichotamkwa.... kama upo weka hapa tuone.
Narudia tena watu weusi especially kwetu wengi ni wabaguzi na chuki kwa waarabu huu ndio ukweli, na hata wanapokutana timu za weusi na waarabu mnawatenga kama sio wa Afrika.
Sijutii kushabikia magiant wa Afrika MOROCCO 🇲🇦 ALGERIA 🇩🇿
Sudan walishindwa kuwa makiniHii game nzuri sana wakuu