Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

All the Best Uganda the Cranes.
Nyie ni ndugu zetu wa Damu
 
Ujumbe huu unaona wewe tu, unasubiri kupitiwa na moderators ili uonekane kwa umma!
 
30'
Uganda 0-0 Algeria
 
Ooh! Uganda wamepigwa kizembe sana aisee
 
Mtu anapiga mpira mbele ya mabeki wawili.
Hatari hii, watakula nyingi
 
36'
Uganda 0 -1 Algeria
Game on
 
Wachezaji wa Uganda wanamiili ila hawana ubunifu
 
Uganda watulie
 
Algeria kama vile hawachezi, kumbe muda wao ndio unakwenda hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…