Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Nakubaliana na wewe
 
Ndugu zangu football is not played by mouth....u need to actualyy play ball to win...these people technical quality kama yangu mzabzab yaani 20 minutes za kwanza too many technical errors.
Kama mchezaji anapumbazwa na ahadi za wanasiasa aisee huyo boli ataishia kuwa mchezaji wa kawaida.
Mchezaji wa kweli anaingia uwanjani kwenda kuenjoy kwenda kuonyesha no one has mastered the ball more than me.

Anyways ndugu zetu wapo kundi gumu sana itabidi tuwapelekee waganga wawasaidie maana maombi hapo hayataleta chochote
 
Twende na Taifa Stars.
Uwezekano wakungaa ni mkubwa sana
Watanzania wote tupo Taifa Stars, lakini kutokana na Taifa letu kutopewa nafasi ya kunyakua ubingwa wa kombe hili basi kila Mtz ana haki ya kuteua taifa mojawapo lenye uwezekano mkubwa wa kuchukua ubingwa. hata hivyo kila Mtanzania anatamani TAIFA STARS ifike hatua za juu zaidi.
 
Ndio umechagua taifa lipi mwanetu?
 
53'
Congo 0
Sudan 1
Game on...
 
New Amaan Stadium
 
 

Attachments

  • 1000224775.jpg
    437.7 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…