Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Mwambieni Mgunda asiwatulize Stars wacheze kwa kasi hio hio wasipoe
 
Kipa namna gani pale?
Mgunda anajaribu kuwatuliza anawatoa Mchezoni wacheze hivyo hivyo kasi kasi hakuna kuwapa nafasi ya kupumua hawa tutawafunga
 
Mgunda anajaribu kuwatuliza anawatoa Mchezoni wacheze hivyo hivyo kasi kasi hakuna kuwapa nafasi ya kupumua hawa tutawafunga
Kasi wapi na wewe unataka kutudanganya kama huyu 2nd comentator eti stars wanafika...wanafika wapi wakati offside kibao
 
Jamaa wanapoza game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…