Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Mi nmeangalia hizi dk 7 kama sio 10 za mwisho kuna ujinga ameufanya kama sio Bacca /Job kumzonga yu1e jamaa na kudra tu za Maulana tungekwisha[emoji38][emoji38]
Kocha inabidi amuweke sawa kiakili ama laa ambadilishe tu kabla hajaharib zaid.
 
Hii match sina hakika kama tutashinda.
 
Nado ni winga ya kizamani sana

Feitoto anajikuta star sana mzize akicheza pembeni ndio wa moto kwanini saadun asipige CF pale halafu mzize akala winga ya Nado?
 
Stars mechi ya kwanza walitumia nguvu ya soda, leo hata goli la kumuagia Ndugai huenda lisipatikane wasipoongeza bidii.
 
Stars mechi ya kwanza walitumia nguvu ya soda, leo hata goli la kumuagia Ndugai huenda lisipatikane wasipoongeza bidii.
Timu yetu ikutanaga na timu ambayo ipo technical kidogo tu tunangaikaga kweli reje mechi na Ethiopia ile yakufuzu Africon tulivoteseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…