princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Nmefurahi sanaAmekukosha?
Yupo vizuri sema pale alikua anauset mpira mguu wa kushoto akachelewaIla Saadun hamna kazi mle
Ndio inabidi iwe hivyo mradi goli liingieNmefurahi sana
Mambo yanapokwama inabidi ajitokeze mtu athubutu kufanya kitu acheze na moment... manake majamaa walishakuja na mbinu ya kudhibiti mfumo... sasa panahitajika watu kupambana hata mzize nmempenda dakika za mwishoni alikua kama msaka tonge kila upande yupo yani hapo plan ya mwalimu ishafeli hakuna cha zaidi ya kutumia ujuzi
Hapo ndipo tunatofautiana kuujua mpira sasa hata mimi nakushangaa sijui wewe hiwa unaangaliaje?Daah tuseme ukweli kocha yuko vizuri sijui wenzetu mpira huwa mnaangaliaje.
Ameamua kutuprove wrong hakika usimkatie mtu tamaaAsiefaaa kafaaa iddi nado assist😆😆😆
Huo ndio ukweli kabisaHatuna kocha
Sopu game ilimshinda km kagoma kipindi cha kwanza pia alipata injury pale alipogongana na mabeki akiwa na Mzize Kocha kafanya vizuri kumpumzisha kiufupi kikosi hiki cha pili kilikua poa sana Iddi Nado alikua ametulia sana leo walishindwa tu kumtumia kutoa assist za magoliHapana! Hakuna alichofanya leo.
Angebaki Soppu
Hivi ana miss next game bila shakaHuo ndio ukweli kabisa
Tuna kikosi kizuri sana this time kile cha kwanza
Ila kocha wetu kazubaa sana
Kagoma alitakiwa kutoka mapema tu yule alikuwa hovyo ila tunashukuru kocha akafanyia kazi
Amezubaa sana yule
Kuna kocha alisema kama sio Gamond basi huyu huyu Moroco kuwa ikiwa mchezaji anaflop unamtoa basi tutakosa nafasi ingine ambayo angeitengeneza kubadili matokeoAmeamua kutuprove wrong hakika usimkatie mtu tamaa
Sometimes mtu anacheza vibaya mechi nzima ila situation moja tu inaamua game ndio Nado leo sasaKuna kocha alisema kama sio Gamond basi huyu huyu Moroco kuwa ikiwa mchezaji anaflop unamtoa basi tutakosa nafasi ingine ambayo angeitengeneza kubadili matokeo
Ana kadi mbiliHivi ana miss next game bila shaka