Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hapo ndipo tunatofautiana kuujua mpira sasa hata mimi nakushangaa sijui wewe hiwa unaangaliaje?

Au sababu tumeshinda?
Sio sababu tumeshinda, kiuchezaji tumecheza vizuri, sub anafanya kimkakati, kuna muda tunazidiwa au akiona makosa anakemea haraka game inarudi upande wetu. Ndio inapelekea ushindi, kwa tunaoijua stars haikuwahi kuwa na mentality hii ya kupush mchezo mpaka dakika za jioni na kupata goli. Kocha hana shida yoyote ni wachezaji tu kushika wanachoelekezwa basi.

Wewe umeona changamoto gani inayokupa mashaka kuwa kocha kazingua?
Hapo ndipo tunatofautiana kuujua mpira sasa hata mimi nakushangaa sijui wewe hiwa unaangaliaje?

Au sababu tumeshinda?
 
Faulo nje ya box la Zambia

Kelvin Kampamba anapewa Kadi ya Njano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…